

Huruma · Huduma · Mshikamano
Club Africanas Samaritans
Kugeuza huruma kuwa msaada unaoonekana: chakula wakati wa njaa, ulinzi kwa makundi hatarini, malezi bora, vijana na mazingira.
- Familia zenye njaa
- Yatima
- Wajane
- Watu wenye ulemavu
Stronger Communities | Brighter Futures
Tunawaunganisha watu wenye moyo wa kusaidia na wanajamii wenye uhitaji: wanafunzi, wazee, wagonjwa, yatima, na jamii zinazotafuta amani.
Uplift the DowntroddenTunachofanya

Elimu
Mahitaji ya shule kwa wanafunzi wasiojiweza

Ustawi
Wazee, wagonjwa, yatima na kaya zenye uhitaji

Amani
Kuzuia migogoro na kujenga maelewano

Uwezeshaji
Wanawake, vijana na fursa za kujitegemea
Klabu za DiA's


Huruma · Huduma · Mshikamano
Kugeuza huruma kuwa msaada unaoonekana: chakula wakati wa njaa, ulinzi kwa makundi hatarini, malezi bora, vijana na mazingira.


Conflict to Peace Rehabilitation
Kuzuia migogoro mapema, kuelimisha jamii kuhusu amani, ujasiriamali vijijini na unasihi. Uongozi wa Prefects kuanzia Kata hadi Vijiji.

Undugu wa dunia · Swahili Africa
Klabu ya kimataifa inayowaunganisha watu wa mabara yote kama ndugu mmoja, na kukuza Kiswahili kama lugha ya undugu.

Neno la Mwanzilishi
DiAfricana's ilizaliwa kutokana na imani kwamba hakuna mtu aliye mdogo kiasi cha kushindwa kusaidia, wala aliye chini kiasi cha kutoinuliwa. Karibu tushirikiane.
Jessey Kimei
Mkurugenzi Mkuu, Mwanzilishi na Mbeba Maono
Uongozi

Jessey Kimei
Mkurugenzi Mkuu, Mwanzilishi na Mbeba Maono
Madam Blandina Nyambo
Mkurugenzi Mwanzilishi · Malezi na Nidhamu
Daniel Ludovick Mwalyego
Mkurugenzi Mwanzilishi · Uratibu wa Miradi
Emmy Weston Siwale
Mkurugenzi Mwanzilishi · Fedha na Takwimu
Upendo Joel Mlaki
Mkurugenzi Mwanzilishi na Katibu wa Bodi
Unga mkono kazi yetu
Msaada wako unawafikia wanafunzi, wazee, wagonjwa, yatima na jamii zinazojenga amani. Kila mchango unarekodiwa na kuripotiwa kwa uwazi.

+255 726 111 286
Jina litakaloonekana: Developmental of the Integrated Africana's
+255 688 525 186
Jina litakaloonekana: JESSEY KIMEI
Kutoka kwenye Blog
Tutembelee