S.L.P. 580, Mbozi, Songwe, Tanzania

Developmental of the Integrated Africana's

Stronger Communities | Brighter Futures

Tunawaunganisha watu wenye moyo wa kusaidia na wanajamii wenye uhitaji: wanafunzi, wazee, wagonjwa, yatima, na jamii zinazotafuta amani.

Mtoto akitabasamu pamoja na wenzakeUplift the Downtrodden

Tunachofanya

Maeneo yetu ya kazi

  • Elimu

    Mahitaji ya shule kwa wanafunzi wasiojiweza

  • Ustawi

    Wazee, wagonjwa, yatima na kaya zenye uhitaji

  • Amani

    Kuzuia migogoro na kujenga maelewano

  • Uwezeshaji

    Wanawake, vijana na fursa za kujitegemea

Klabu za DiA's

Chagua namna ya kushiriki

Club Africanas Samaritans

Huruma · Huduma · Mshikamano

Club Africanas Samaritans

Kugeuza huruma kuwa msaada unaoonekana: chakula wakati wa njaa, ulinzi kwa makundi hatarini, malezi bora, vijana na mazingira.

  • Familia zenye njaa
  • Yatima
  • Wajane
  • Watu wenye ulemavu
Jifunze zaidi →
COPE Club

Conflict to Peace Rehabilitation

COPE Club

Kuzuia migogoro mapema, kuelimisha jamii kuhusu amani, ujasiriamali vijijini na unasihi. Uongozi wa Prefects kuanzia Kata hadi Vijiji.

  • Kuzuia
  • Elimu
  • Utengamavu
  • Amani
Jifunze zaidi →

Undugu wa dunia · Swahili Africa

Africana's Siblings Club

Klabu ya kimataifa inayowaunganisha watu wa mabara yote kama ndugu mmoja, na kukuza Kiswahili kama lugha ya undugu.

  • Kiswahili
  • Mijadala
  • Tamaduni
  • Wanachama wa kimataifa
Jifunze zaidi →
Jessey Kimei

Neno la Mwanzilishi

Tulianza na ndoto ya jamii inayoinuana

DiAfricana's ilizaliwa kutokana na imani kwamba hakuna mtu aliye mdogo kiasi cha kushindwa kusaidia, wala aliye chini kiasi cha kutoinuliwa. Karibu tushirikiane.

Jessey Kimei

Mkurugenzi Mkuu, Mwanzilishi na Mbeba Maono

Uongozi

Viongozi waasisi

  • Jessey Kimei

    Jessey Kimei

    Mkurugenzi Mkuu, Mwanzilishi na Mbeba Maono

  • Picha itawekwa

    Madam Blandina Nyambo

    Mkurugenzi Mwanzilishi · Malezi na Nidhamu

  • Picha itawekwa

    Daniel Ludovick Mwalyego

    Mkurugenzi Mwanzilishi · Uratibu wa Miradi

  • Picha itawekwa

    Emmy Weston Siwale

    Mkurugenzi Mwanzilishi · Fedha na Takwimu

  • Picha itawekwa

    Upendo Joel Mlaki

    Mkurugenzi Mwanzilishi na Katibu wa Bodi

Unga mkono kazi yetu

Kila mchango unamwinua mtu

Msaada wako unawafikia wanafunzi, wazee, wagonjwa, yatima na jamii zinazojenga amani. Kila mchango unarekodiwa na kuripotiwa kwa uwazi.

Jessey Kimei akikagua kazi ya ufundi chuma kwa ajili ya ofisi
Mwanzilishi, Jessey Kimei, akikagua kazi ya ufundi wa ofisi.

Namna ya kuchangia

+255 726 111 286

Jina litakaloonekana: Developmental of the Integrated Africana's

+255 688 525 186

Jina litakaloonekana: JESSEY KIMEI

  • Kiasi chochote, hata kidogo
  • Huhitaji kujitambulisha
  • Vitu na muda wa kujitolea vinakaribishwa pia
Changia sasa

Tutembelee

Ofisi yetu

Mahali
Ilonga Mahenje, mita 230 kutoka barabara kuu Tunduma–Dar (upande wa magharibi), mita 130 kutoka Nalyelye Sec School (upande wa mashariki)
Sanduku la Posta
S.L.P. 580, Mbozi, Songwe, Tanzania
Tel / Simu
+255 688 525 186 · +255 726 111 286
Fungua kwenye Google Maps →