Habari za DiA's
Hafla fupi ya ushirikiano kati ya DiAfricana’s naA-Anafaka
Na DiA's · 25 Novemba 2026 · dakika 1 kusoma

Hafla hii ilikuwa ni kwaajili ya utambulisho wa mradi unao ratibiwa na kampuni ya A-Anafaka ulio fanyika Mbozi Songwe Mlowo ambapo Mkurugenzi mtendaji wa DiAfricana's alialikwa kama mdau wa maendeleo
Shirika la Developmental of Integrated Africanas
Lime shiriki kazi ya pamoja ktk hafla fupi iliyo fanyika mlowo mbozi ambapo Kampuni ya A-Anafaka kupitia kamati tendaji ili mualika Mkurugenzi mtendaji wa DiAfricana's kama mdau wa maendeleo katika uzinduzi wa mradi wao wa kilimo jumuishi kwaajili ya maendeleo ya jamii kwa wakulima



